0
Meneja wa Young Dee ameelezea kwanini rapper huyo wa ‘Hands Up’ haonekani kwenye majukwaa kwasasa ambapo amesema kuwa anamuandaa kuwa mpya kabisa na wala hadharau mkwanja unaoletwa na mapromota.



Katika hatua nyingine pia, Boss wa MDB, Mazimillian amesema ujio mpya wa Young Dee utakuwa moto wa kuotea mbali,


“Sasa namfananisha Young Dee kama ‘Paka’ kwa hiyo kwa wale watu wanaomuita Paka rapa huyo naona hawakosei kwa kuwa Young Dee ameimarika na kuwa mkali zaidi ya watu walivyomzoea awali”. Max aliiambia Enewz ya EATV.

Ngoma ya mwisho staa huyo kuachia ilikua ‘Hands Up’

Post a Comment

 
Top