1
Ndio Ndio, karibu sana ndugu na majirani wa Madini Media na zaidi sana kwako mwanafamilia ndani ya Jumba la Wanahabari, MADINI HOUSE OF JOURNALISTS, kama nipo nawe upo basi tupo, na kama umefungua page hii kwa kumaanisha basi tupo darasani.

Exactly, JINSI YA KUPOST KITAALAM KATIKA BLOG ndilo somo letu kwa leo, sema hapa watakaofaidi sana ni wale wanaotumia mtandao wa BLOGSPOT kutokana na screenshot nilizotumia, but, isikuvunje moyo wewe uliyeko mitandao mingine maana hakuna tofauti sana.

Naitwa Fiacrius K. Otto, sio mtaalam wa mambo haya ila nakupa kile nilichonacho, na kumbuka tunaongelea swala la KUPOST tu sio vinginevyo, lengo ni kuona post zetu zinakuwa meaningful cosmetic and colorful ili kumvutia msomaji, basi tutaligawa somo ktk vipengele.

JINSI YA KUPOST KITAALAM KATIKA BLOG

1/ Kupost Article Yenye Maandishi

2/ Kupost Article Yenye Picha

3/ Kupost Article Yenye Link

4/ Kupost Article Yenye Audio

5/ Kupost Article Yenye Video.


Ohh, nimekumbuka, ngoja tena nikupe kopy kabisa ya PDF ukajisomee wakati wowote ule, si et ee, na popote pale utakapokwama usinipigie wala kunitumia email, ila rudi katika post hii UKOMENTI ukieleza tatizo lako nami nitalijibu hapa hapa kwa faida ya wengi.

PROFESSIONAL POSTING ON BLOG.PDF
CLICK TO>>>
Fast Download Original Pdf File

OR CLICK TO
PDF - Download document

Download original PDF file


Jipatie masomo ya kutosha kupitia hapa hapa MADINI MEDIA kwenye kipengele cha JOURNALISM, na pia usiache kutembelea vipengele mbalimbali katika mtandao huu ili kupata mbinu za kufanikiwa katika maisha, fanya hivyo kila siku ujipatie jipya linalokuhusu.

Post a Comment

 
Top