Malkia Elizabeth |
Kampuni moja ya mawakili yenye makao yake mjini Landon, inasema umeandika barua kwa serikali ya Uingereza ikitaka hakikisho kuwa haitaanzisha mchakato wa kuondoka kwenye muungano wa ulaya bila ya idhini ya bunge.
Kampuni hiyo inasema kuwa bila ya idhini hiyo, serikali itakuwa imefanya kinyume cha sheria na hatua hiyo itakabiliwa kisheria.Mawakili hao wanawakilisha kundi dogo la wafanyibiashara na wasomi ambao hawakutajwa.
Mwandishi wa BBC wa masuala ya sheria anasema kuwa hatua hiyo itawapa wabunge wanaopinga kuondoka kwa Uingereza fursa ya kazuia mchakato huo.
Post a Comment