0

Mdundishaji wa Matamasha Arusha, maarufu kama Dj DaisyTz amejikuta katika wakati mgum baada ya kupokea taarifa za aliemtaja kuwa ni kama mamake, (********) kupoteza maisha.

Amepokea taarifa hizi kutoka kwenye facebook katika post ya mwenzie, WIN TIBYAMPASHA ya July 2, 20016 saa 5:27 mchana iliyoashiria kuwepo kwa hali ya msiba.


MUNGU ILAZE ROHO YA MAMAYANGU MAALI PEMA

Like
Comment
Comments
Lameck Mageuzi Jaman umetuacha kwenye majonz Mwalim wetu wa primary tulikupenda ila Mungu kakupenda zaid, Mungu ilaze roho yake mahari pema pepon Amen!
LikeReply23 hrs
Devitha Kikabiha Pole sana Mungu atakusaidia
LikeReply18 hrs
Nelson Binfuba Pole sana Binamu yangu. Mungu awape moyo mkuu ktk kipindi chote kigumu.
LikeReply16 hrs
Jesca Rose Mwijage Pole sana mdada.
LikeReply13 hrs
Bin'Otto The'Late Yell'daisy-Dj DaisyTz

Write a comment...

Akiongea na DAKIKA ZA MADINI amesema kuwa familia yake na ya marehem wamekuwa wakishiishi kwa umoja na upendo kama familia moja tangu miaka ya 90.

Dj DaisyTz ameongeza  "Mama, nilikupenda sana, ila pia Baba yetu wa mbinguni ametamani ujumuike na malaka huko mbinguni, nasi tupo nyuma yako."

Amewaomba ndugu, jamaa, marafiki na wote wenye mapenzi mema kufuta machozi ili kuruhusu Mapenzi ya Mungu ndani yetu kupitia Roho Mtakatifu alie taa na faraja yetu.

Post a Comment

 
Top