0




Leo kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nataka tujifunze jinsi ya kutumia whatsapp account mbili katika simu moja.
Pengine unaweza ukastaajabu hili swala linawezekanaje.
Ila ni ukweli usiopingika kwamba teknolojia imewezesha hili.
Kwa kufata steps zifatazo utaweza kufanikisha kuwa na account mbili za whatsap.

                             STEPS
1. Nenda playstore na download app inaitwa DISA then install.
ipo kama hii hapa chini


2. Ifungue then nenda kwenye add services click hapo then angalia sehem wameandika whatsap iclick ita download na kuinstall.
3.ikimaliza bonyeza sehem wameandika Restart
4. Ili kuanza kutumia whatsap bonyeza kwenye kialama cha pembetatu ambacho kinaalama ya mshangao ndani (exclamatory mark). kipo kulia juu
5. Hapo itakuletea sehem ya kujaza jina na whatsap namba. Andika jina unalotaka kutumia whatsap then weka namba yako mpya.Tofaut na ile unayotumia kwenye whatsap ya kwawaida.
6. hapo itaconfirm yenyewe na utakuwa na uwezo wa kutumia whatsap mbili. yani moja kwenye DISA nyingine ni ile ya kawaida.

NOTE
kama itafeli kuconfirm itakuletea sehem ya kuconfirm manually. utachagua sehem imeandikwa VIA PHONE.utatumiwa code ambazo utaziweka hapo kama unavyofanyaga kwenye whatsapp ya kawaida.

Post a Comment

 
Top