0

KARIBU KATIKA DARASA HURU. Asante kwa kutembelea blog yangu pia asante kwa wote mlioshare na ku sabscribe, asante pia kwa wale mlionitumia maoni na maswali yenu kuusu vipindi vilivyopitana maswali mabilimbali nje ya kipindi kilichopita.. kama ilivyo ada leo tunajifunza kitu kipya hapa darasani. na leo kama kichwa cha habari kinavyosema tutajifunza nja mbalimbali za kufanya computer yako iwe FASTA. hii inatokana na maswalii ya watu wengi walionitumia kwenye Email yangu. pia kama unaswali lolote wewe nitumie tu na utapata majibu yake kwa undani. Turudi Darasani............



Ili kuifanya COMPUTER YAKO IWE FASTA FATA STEP ZIFATAZO KWA USAHIHI 
.
1. Click CTRL+R (yani CTRL na R kwa pamoja) then andika %temp% then ENTER. then click CTRL+A then DEL.

2. Click CTRL+R then andika temp then ENTER. then click CTRL+A then DEL.

3. nenda kweny my computer then local disk C then right click then nenda kweny properties then disk clean up then iache icalculate after that itakuletea  sehem za kueka tick weka tick kote then click ok.
Itakuulza are u sure u want to delete permanents? Accept then iache. Ikimalza rudia hyo step.
4. Nenda kweny computer properties then advanced setting then advanced then advanced then utaona sehem ya juu wameweka tick itoe hyo tick kisha baada ya hapo shuka chin utaona sehem wameandika custom. Rud angalia RAM yako ni ngap, 
Then rudi Hapo kwny custom 
chukua namba ya ram yako zdisha kwa 1024 then jaza  kweny minimum.
Chukua jibu ulilolipata zidsha na 2 jaza kweny maximum.
Then click ok.
Itakuomba kurestat. Iruhusu irestart ili kusave changes, mambo yatakuwa poa kabsa.

NB.
speed ya pc yako inadepend na ukubwa wa ram yako hivyo jitahid kupunguza program zoote ambazo hazina matumizi ili kuifanya pc iwe fasta.
Epuka kuinstal program nyiiiingi ambazo huzitumii..

Post a Comment

 
Top