0



Habari wanakwetu. karibyu katika darasa huru na kama kawaida leo tunapeana kitu kingine kipya ambacho pengine ulikuwa unakihitaji siku nyingi.
Leo nataka tupeane trick ya kujua ni nani ametembelea profile yako. 
yan kama unataka jua ni nan kaingia kuangalia pcha zako status zako na taarifa zako kwa ujumla.
hii ni rahisi sana just twende pamija kwa kufata steps zifatazo.

STEPS...

1. ingia kwenye page yako ya facebook (yani profile yako)  then right click

2. chagua sehem wameandika VIEW PAGE SOURCE

3. page nyingne itafunguka, click CTRL+F sehem ya kusearch itatokea. andika INITIAL CHAT FRIENDS LIST (bila kuweka space)

4. utaona hilo neno limejiwekea kivuli mbele yake kuna namba nying tu.

5.kila namba iliyopo hapo inawakilisha jina la rafiki yako. jinsi zilivyojipanga ndo mpangilio wa muda. yan hiyo namba ya kwanza ndo mtu ambae kaingia muda c mrefu. pia kwenye hizo namba utaona baada ya namba kuna alama ya kama kimstar then inaandikwa namba  nyingine  mfano 123455678899 -2, usiikopi hyo namba ya mwisho ambayo ina hako ka mstari.

6. kujua jina la huyo mtu copy hyo namba then nenda kwenye URL ya facebook (nnapoongelea URL namaanisha pale walipoandika http://www.facebook.com)  inapoishia weka slash ( / ) then paste hapo kisha enter. mfano https://www.facebook.com/0125997465

7.profile ya huyo mtu itafunguka hapo na utaweza kujua ni nani. 

Post a Comment

 
Top