1

Mashabiki & watangazaji: inaonekana diamond ameanza kuota mapembe.

Darasa: aneota mapembe, muongezee mkia.
Diamond: anaejiona yeye mkali tuweke mkali nani show au collabo.
Darasa: let me make one thing clear blah blah blah sitaki kusikia,
Diamond: mi ndo simbaa
Darasa: sio simba, sio chui, sio mamba, ngozi yangu inatosha kujigamba.
Diamond: wanakodoaa kodo
Darasa: sina maneno ya kwenye kanga, kazi juu ya kazi yaani pampa to pampa.
Diamond: watuache tulalee (ktk nyimbo yake)
Darasa: kalale uote ndoto zako za kitanda, si bado tupo macho mida ya wanga.
Diamond: (ktk kokoro) nan kazima mziki, itakua salam huyo
Darasa: unasemaga chambua kama karanga!! piga muziki, acha maneno piga mziki.

Team Wcb: diamond ndo anawakimbiza sasa hivi
Darasa: unataka kukimbia na hauna break, what do you expect.?
Diamond: ninashow rwanda burundi, south, zambia nk
Darasa: bongo,Congo, kwa thabo mbeki, cheza lokasa ya mbongo huwezi Ku-make.
Diamond: mimi ndo msanii wa kwanza kufanya vitu vkubwa (tuzo na ma show kibao)
Darasa: vitu vingne havitagaki ujuaji, waweza kuta unatandikia watu jamvii.
Diamond: jinga sana wee darasa (diamond anakimbia)
Ben pol: heyyyy, kamataaa......

Post a Comment

  1. The Best Casino in New Jersey | Mapyro
    The Best Casino in New Jersey · 1. Borgata Hotel Casino & Spa · 포항 출장마사지 2. The 상주 출장안마 Spa 아산 출장안마 at Borgata 나주 출장샵 Casino · 3. Harrah's Atlantic City Casino & 익산 출장마사지 Spa · 4. The

    ReplyDelete

 
Top