Ijumaa iliyopita, Oktoba 21, Recording Industry Association of America (RIAA) ilitangaza kuwa albanmu hiyo imeuza nakala hizo na kumpatia rapper huyo cheti cha certified 7x Platinum.
albamu ya ‘Curtain Call’ ilitoka Disemba 6, 2005 huku ikiwa na nyimbo 17, ikiwemo ‘My Name Is [Explicit]’, ‘Without Me’, ‘Mocking Bird’, ‘Fact’ na zingine.
Eminem anaratajia kuachia albamu yake ya tisa hivi karibuni baada ya ‘The Marshall Mathers LP ‘ iliyotoka mwaka 2013.
Post a Comment