Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (1972-1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo mchana nyumbani kwake mji mwema Kigamboni jijini Dar es salaam na anatarajiwa kuzikwa kesho Zanzibar. Imeelezwa kuwa kutokana na umri wake maradhi mbalimbali yalikuwa yakimsumbua.
MSIBA | Aliyekuwa Rais wa Z’bar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi afariki dunia

Post a Comment