Majirani wa Chris Brown miezi miwili iliyopita walilalamika kuwa Chris na marafiki zake walifanya fujo na pikipiki zao za matairi manne na kuwapigia kelele nje ya mageti yao na kuwasababishia usumbufu mkubwa.
Polisi waliitwa eneo la tukio na walipofika tayari Chris alikuwa amerudisha piki piki hizo ndani na hawakuona hizo fujo zozote na baada ya kumaliza uchunguzi hawakuona kosa kwa Chris.
Post a Comment