0
Lulu ni Msanii bora wa kike Tuzo za ZIFF 2013 na mshindi wa Tuzo ya Filamu Bora Afrika Mashariki mapema mwaka huu huko Lagos Nigeria katika tuzo za African Magic Views Choice Award (AMVCA) chini ya Multi Choice.

Hivi sasa ametoa filamu yake mpya ifahamikayo kwa jina Ni Noma na ndiyo inakuwa filamu ya kwanza ya Kitanzania kuuzwa kwa kutumia mfumo mpya wa kidigitali.

Mbona akachukua hatua hii?

Amemfafanulia mwandishi wa BBC Arnold Kayanda.

Post a Comment

 
Top