“Kwenye Stock yangu nina Album kama 13 ivi kwa haraka haraka Na kila nikipekua naona chuma kimebebana na chuma” Barnaba ameandika kwenye Instagram.
“Lakini najaribu kuangalia Album yangu Ya 8/8 naona kama imezidi Vyuma Vyote na inaitaji Nafasi Ya masikio Ya wengi Sijui nipeleke sijui muda ndo bado Mana ilibidi Itoke tangu mwezi 8 tarehe 8 mwaka huu /na ina nyimbo 8 ambazo sidhani kama unaweza Peleka wimbo mbele …!!!🙏🏿🎹🎼🔥🔥”
Barnaba kwasasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Lover Boy’
Post a Comment