0
DADA ZANGU NI VIZURI KAMA MKIYAFAHAMU HAYA..!
👉Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone.

👉Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. 

👉Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume. 


👉Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie. 


👉Mwili wako sio kiburudisho, kila mwanaume Ajiridhishe. 

👉Mwili wako sio pazia la Sebuleni, kila mwanaume Akufunue. 


👉Mwili wako sio karanga za kutembezwa mtaani kila mwanaume Akuonje Utamu wako.


🔹Mwili wako ni wa Thamani sana. Mwili wako ndio utu wako.

🔹 Ebu Tunza Mwili wako nao Ukutunze. Uheshimu Mwili wako nao Utakuheshimisha.

🔹Si kila mtu wa kuushika Mwili wako. Usitumie Mwili wako kama kitegauchumi, Usitumie Mwili wako kama dhamana ya kupata vile unavyohitaji.

🔹Usitumie Mwili wako kama Njia ya kupata Mume Atakayekuoa. Kama Mungu amepanga Uolewe utaolewa tu dada yangu hata bila ya kufunua Sketi yako. Muamini Mungu Yeye ndiye aliyeshikilia maisha yako.

🔹Kuna mtu mmoja tu anayestahili kuugusa Mwili wako, kuuona Mwili wako, kuujua Uzuri wako.. Msubiri, Usiwe na Haraka, Mungu atamleta kwako. Endelea Kusubiri.

🔹JITUNZE, JITHAMINI, JIKUBALI NA JIAMINI..!

🔹PIA MUACHE TABIA YA KUBINUA MAKALIO YENU HAKIKA MUNGU ATAWASAIDIA DADA ZANGU..!

Post a Comment

 
Top